Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Najm 53:16

53:16
اذ يغشى السدرة ما يغشى ١٦
إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ١٦
إِذۡ
يَغۡشَى
ٱلسِّدۡرَةَ
مَا
يَغۡشَىٰ
١٦
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Pindi huo Mkunazi ulipofinikwa kutokana na amri ya Mwenyezi Mungu na kitu kikubwa hakuna ajuaye sifa zake isipokuwa Mwenyezi Mungu, Aliyeshinda na kutukuka.