Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Najm 53:17

53:17
ما زاغ البصر وما طغى ١٧
مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ١٧
مَا
زَاغَ
ٱلۡبَصَرُ
وَمَا
طَغَىٰ
١٧
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, alikuwa na sifa kubwa ya uthabiti na utiifu, hayakupotoka macho yake kuliani wala kushotoni, wala hakupitisha zaidi ya kile alichoamrishwa kukiona.