An-Najm 53:4 ان هو الا وحي يوحى ٤
إِنۡ
هُوَ
إِلَّا
وَحۡيٞ
يُوحَىٰ
٤
Hayakuwa haya ila ni ufunuo ulio funuliwa; . 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Qur’ani na haikuwa Sunnah isipokuwa ni wahyi unaotoka kwa Mwenyezi Mungu kwa Nabii Wake Muahammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie.