An-Najm 53:43 وانه هو اضحك وابكى ٤٣
وَأَنَّهُۥ
هُوَ
أَضۡحَكَ
وَأَبۡكَىٰ
٤٣
Na kwamba Yeye ndiye anaye leta kicheko na kilio. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwamba Yeye, Aliyetukuka na kutakasika, Ndiye Anayemfanya Anayemtaka acheke duniani kwa kumfurahisha, na ndiye Anayemfanya Anayemtaka alie kwa kumpa makero.
Na kwamba Yeye, Aliyetukuka na kutakasika, Ndiye Anayemfanya Anayemtaka acheke duniani kwa kumfurahisha, na ndiye Anayemfanya Anayemtaka alie kwa kump…