Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Najm 53:44

53:44
وانه هو امات واحيا ٤٤
وَأَنَّهُۥ هُوَ أَمَاتَ وَأَحْيَا ٤٤
وَأَنَّهُۥ
هُوَ
أَمَاتَ
وَأَحۡيَا
٤٤
Na kwamba Yeye ndiye anaye fisha na kuhuisha. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na kwamba Yeye Ndiye Anayemfisha Anayetaka afe miongoni mwa vuimbe Vyake na Ndiye Anayemuhuisha Anayetaka ahuike miongoni mwao. Basi Yeye Ndiye Aliyepwekeka, kutakasika ni Kwake, kwa kuhuisha na kufisha.