An-Najm 53:50 وانه اهلك عادا الاولى ٥٠
وَأَنَّهُۥٓ
أَهۡلَكَ
عَادًا
ٱلۡأُولَىٰ
٥٠
Na kwamba Yeye ndiye aliye waangamiza A'di wa kwanza, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwamba Yeye, Aliyetakasika na kutukuka, Aliwaangamiza 'Ād wa mwanzo, nao ni watu wa Hūd.