Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Naml 27:29

27:29
قالت يا ايها الملا اني القي الي كتاب كريم ٢٩
قَالَتْ يَـٰٓأَيُّهَا ٱلْمَلَؤُا۟ إِنِّىٓ أُلْقِىَ إِلَىَّ كِتَـٰبٌۭ كَرِيمٌ ٢٩
قَالَتۡ
يَٰٓأَيُّهَا
ٱلۡمَلَؤُاْ
إِنِّيٓ
أُلۡقِيَ
إِلَيَّ
كِتَٰبٞ
كَرِيمٌ
٢٩
(Malkia) akasema: Enyi wahishimiwa! Hakika nimeletewa barua tukufu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hud-hud alienda akamrushia malkia ile barua. Papo hapo akaisoma na akawakasunya watukufu wa watu wake, na akamsikia akisema, «Mimi nimefikiwa na barua tukufu yenye cheo kutoka kwa mtu mkubwa wa cheo.»