Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Naml 27:50

27:50
ومكروا مكرا ومكرنا مكرا وهم لا يشعرون ٥٠
وَمَكَرُوا۟ مَكْرًۭا وَمَكَرْنَا مَكْرًۭا وَهُمْ لَا يَشْعُرُونَ ٥٠
وَمَكَرُواْ
مَكۡرٗا
وَمَكَرۡنَا
مَكۡرٗا
وَهُمۡ
لَا
يَشۡعُرُونَ
٥٠
Basi wakapanga mipango yao, na Sisi tukapanga mipango yetu, na wao hawatambui. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Basi wakazipanga hila hizi za kumuangamiza Ṣāliḥ na watu wake kwa kuwafanyia vitimbi, tukamuokoa Nabii wetu Ṣāliḥ, amani imshukie, na tukawapatiliza kwa mateso kwa ghafla na hali wao hawatazamii vitimbi vyetu kwao kama malipo ya vitimbi vyao.