Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Naml 27:67

27:67
وقال الذين كفروا ااذا كنا ترابا واباونا اينا لمخرجون ٦٧
وَقَالَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ أَءِذَا كُنَّا تُرَٰبًۭا وَءَابَآؤُنَآ أَئِنَّا لَمُخْرَجُونَ ٦٧
وَقَالَ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُوٓاْ
أَءِذَا
كُنَّا
تُرَٰبٗا
وَءَابَآؤُنَآ
أَئِنَّا
لَمُخۡرَجُونَ
٦٧
Na wakasema walio kufuru: Tutapo kuwa mchanga, sisi na baba zetu, hivyo kweli tutakuja tolewa? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na walisema wale waliokanusha upweke wa Mwenyezi Mungu, «Je, sisi na wazazi wetu tutafufuliwa, tukiwa hai kama tulivyo, baada ya kufa kwetu, baada ya sisi kuwa mchanga?