An-Naml 27:77 وانه لهدى ورحمة للمومنين ٧٧
وَإِنَّهُۥ
لَهُدٗى
وَرَحۡمَةٞ
لِّلۡمُؤۡمِنِينَ
٧٧
Nayo hakika ni Uwongofu na Rehema kwa Waumini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika, hii Qur’ani ni uongofu kutoka kwenye upotevu na ni rehema inayotoa kwenye adhabu kwa mwenye kuiamini na akajiongoza kwa uongofu wake.