An-Naziat 79:11 ااذا كنا عظاما نخرة ١١
أَءِذَا
كُنَّا
عِظَٰمٗا
نَّخِرَةٗ
١١
Hata tukiwa mifupa iliyo bunguliwa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Je, tutarudishwa baada ya kufa kwetu kwenye yale tuliyokuwa nayo katika ardhi? Je, tutarudishwa na hali tushakuwa mifupa iliochakaa?»