An-Naziat 79:14 فاذا هم بالساهرة ١٤
فَإِذَا
هُم
بِٱلسَّاهِرَةِ
١٤
Mara watakuwa kwenye uwanda wa mkutano! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakitahamaki wao wako hai juu ya ardhi baada ya kuwa walikuwa ndani yake.
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis