An-Naziat 79:22 ثم ادبر يسعى ٢٢
ثُمَّ
أَدۡبَرَ
يَسۡعَىٰ
٢٢
Kisha alirudi nyuma, akaingia kufanya juhudi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha alikengeuka hali ya kuipa mgongo Imani na kufanya bidii katika kumpinga Mūsā.