Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
079

An-Naziat 79:3 والسابحات سبحا ٣

79:3
وَٱلسَّٰبِحَٰتِ
سَبۡحٗا
٣
Na wanao ogelea! 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Na kwa Malaika wanaoogelea katika kushuka kwao kutoka mbinguni na kupaa kwao kwenda mbinguni.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 79, Ukurasa 583, Juzuu 30

1. Naapa kwa wanao komoa kwa nguvu! 2. Na kwa wanao toa kwa upole! 3. Na wanao ogelea! 4. Wakishindana mbio! 5. Wakidabiri mambo. 6. Siku kitapo tetemeka cha kutetemeka! 7. Kifuate cha kufuatia. 8. Siku hiyo nyoyo zitapiga piga! 9. Macho yatainama chini! 10. Sasa wanasema: Ati kweli tutarudishwa kwenye hali ya kwanza? 11. Hata tukiwa mifupa iliyo bunguliwa? 12. Wanasema: Basi marejeo hayo ni yenye khasara! 13. Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu, 14. Mara watakuwa kwenye uwanda wa mkutano!

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia