An-Naziat 79:34 فاذا جاءت الطامة الكبرى ٣٤
فَإِذَا
جَآءَتِ
ٱلطَّآمَّةُ
ٱلۡكُبۡرَىٰ
٣٤
Basi itakapo fika hiyo balaa kubwa, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Pindi kitakapokuja Kiyama Kikubwa na balaa nzito, nao ni Mvuvio wa pili. Kipindi hicho zitaoneshwa kwa binadamu vitendo vyake vyote, za kheri na za shari.
Pindi kitakapokuja Kiyama Kikubwa na balaa nzito, nao ni Mvuvio wa pili. Kipindi hicho zitaoneshwa kwa binadamu vitendo vyake vyote, za kheri na za sh…