An-Naziat 79:36 وبرزت الجحيم لمن يرى ٣٦
وَبُرِّزَتِ
ٱلۡجَحِيمُ
لِمَن
يَرَىٰ
٣٦
Na Jahannamu itadhihirishwa kwa mwenye kuona, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na utaoneshwa Moto wa Jahanamu kwa kila aonaye, uwe waonekana waziwazi.