An-Nisaa 4:117 ان يدعون من دونه الا اناثا وان يدعون الا شيطانا مريدا ١١٧
إِن
يَدۡعُونَ
مِن
دُونِهِۦٓ
إِلَّآ
إِنَٰثٗا
وَإِن
يَدۡعُونَ
إِلَّا
شَيۡطَٰنٗا
مَّرِيدٗا
١١٧
Wao hawawaombi badala yake Yeye ila wanawake, wala hawamuombi ila Shet'ani aliye asi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Vile wanavyoviabudu washirikina badala ya Mwenyezi Mungu si chochote isipokuwa ni masanamu yasiyonufaisha wala kudhuru, na hawaabudu isipokuwa Shetani aliyemuasi Mwenyezi Mungu aliyefikia kiasi kikubwa cha kuharibika na kuharibu.
Vile wanavyoviabudu washirikina badala ya Mwenyezi Mungu si chochote isipokuwa ni masanamu yasiyonufaisha wala kudhuru, na hawaabudu isipokuwa Shetani…