An-Nisaa 4:118 لعنه الله وقال لاتخذن من عبادك نصيبا مفروضا ١١٨
لَّعَنَهُ
ٱللَّهُۘ
وَقَالَ
لَأَتَّخِذَنَّ
مِنۡ
عِبَادِكَ
نَصِيبٗا
مَّفۡرُوضٗا
١١٨
Mwenyezi Mungu amemlaani. Naye Shet'ani alisema: Kwa yakini nitawachukua sehemu maalumu katika waja wako. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu Alimfukuza kwenye rehema Yake. Na Shetani Akasema, «Nitalichukua fungu maalumu la waja wako niwapoteze kimaneno na kivitendo.