An-Nisaa 4:120 يعدهم ويمنيهم وما يعدهم الشيطان الا غرورا ١٢٠
يَعِدُهُمۡ
وَيُمَنِّيهِمۡۖ
وَمَا
يَعِدُهُمُ
ٱلشَّيۡطَٰنُ
إِلَّا
غُرُورًا
١٢٠
Anawaahidi na anawatia tamaa. Na Shet'ani hawaahidi ila udanganyifu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Shetani anawaahidi wafuasi wake ahadi za urongo na anawavutia kwa matamanio ya urongo yenye udanganyifu; ahadi zake kwao hazikuwa isipokuwa ni udanganyifu usio na ukweli wala dalili.
Shetani anawaahidi wafuasi wake ahadi za urongo na anawavutia kwa matamanio ya urongo yenye udanganyifu; ahadi zake kwao hazikuwa isipokuwa ni udangan…