An-Nisaa 4:145 ان المنافقين في الدرك الاسفل من النار ولن تجد لهم نصيرا ١٤٥
إِنَّ
ٱلۡمُنَٰفِقِينَ
فِي
ٱلدَّرۡكِ
ٱلۡأَسۡفَلِ
مِنَ
ٱلنَّارِ
وَلَن
تَجِدَ
لَهُمۡ
نَصِيرًا
١٤٥
Hakika wanaafiki watakuwa katika t'abaka ya chini kabisa Motoni, wala hutompata yeyote wa kuwanusuru. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wanafiki watakuwa kwenye mahandaki ya chini kwa chini ya Moto Siku ya Kiyama. Na hutawapatia wao, ewe Mtume, yoyote wa kuwaokoa atakayewakinga wao wasifikie mwisho huu mbaya.
Hakika wanafiki watakuwa kwenye mahandaki ya chini kwa chini ya Moto Siku ya Kiyama. Na hutawapatia wao, ewe Mtume, yoyote wa kuwaokoa atakayewakinga …