Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Nisaa 4:45

4:45
والله اعلم باعدايكم وكفى بالله وليا وكفى بالله نصيرا ٤٥
وَٱللَّهُ أَعْلَمُ بِأَعْدَآئِكُمْ ۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ وَلِيًّۭا وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ نَصِيرًۭا ٤٥
وَٱللَّهُ
أَعۡلَمُ
بِأَعۡدَآئِكُمۡۚ
وَكَفَىٰ
بِٱللَّهِ
وَلِيّٗا
وَكَفَىٰ
بِٱللَّهِ
نَصِيرٗا
٤٥
Na Mwenyezi Mungu anawajua vyema maadui zenu. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni Mlinzi, na anatosha kuwa ni Mwenye kukunusuruni. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na sifa pungufu na kutukuka, Anaujua zaidi kuliko nyinyi, enyi Waumini, uadui wa hawa Mayahudi juu yenu. Na inatosha kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Msimamizi wa kuwasimamia, na inatosha kuwa Yeye Ndiye Mnusuru wa kuwanusuru juu ya maadui zenu.