An-Nisaa 4:68 ولهديناهم صراطا مستقيما ٦٨
وَلَهَدَيۡنَٰهُمۡ
صِرَٰطٗا
مُّسۡتَقِيمٗا
٦٨
Na tungeli waongoa Njia iliyo nyooka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na tungaliwaongoza wao na kuwalekeza njia ya Mwenyezi Mungu iliyo ya sawa.