Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Nur 24:24

24:24
يوم تشهد عليهم السنتهم وايديهم وارجلهم بما كانوا يعملون ٢٤
يَوْمَ تَشْهَدُ عَلَيْهِمْ أَلْسِنَتُهُمْ وَأَيْدِيهِمْ وَأَرْجُلُهُم بِمَا كَانُوا۟ يَعْمَلُونَ ٢٤
يَوۡمَ
تَشۡهَدُ
عَلَيۡهِمۡ
أَلۡسِنَتُهُمۡ
وَأَيۡدِيهِمۡ
وَأَرۡجُلُهُم
بِمَا
كَانُواْ
يَعۡمَلُونَ
٢٤
Siku ambayo zitawashuhudia ndimi zao na mikono yao na miguu yao kwa waliyo kuwa wakiyatenda. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hiyo ndiyo adhabu ya Siku ya Kiyama, siku ambayo ndimi zao zitatoa ushahidi kinyume na wao kwa yale ambayo hizo ndimi zimeyatamka, na itazungumza mikono yao na miguu yao kuhusu yale ambayo hiyo mikono na miguu iliyatenda.