Ar-Raad 13:29 الذين امنوا وعملوا الصالحات طوبى لهم وحسن ماب ٢٩
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَعَمِلُواْ
ٱلصَّٰلِحَٰتِ
طُوبَىٰ
لَهُمۡ
وَحُسۡنُ
مَـَٔابٖ
٢٩
Wale walio amini na wakatenda mema watakuwa na raha na marejeo mazuri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakafanya matendo mema watakuwa na furaha, kipumbazi cha jicho, hali nzuri na marejeo mema kwenye Pepo ya Mwenyezi Mungu na radhi Zake.
Wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakafanya matendo mema watakuwa na furaha, kipumbazi cha jicho, hali nzuri na marejeo mema kwenye Pe…