Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
055

Ar-Rahman 55:17 رب المشرقين ورب المغربين ١٧

55:17
رَبُّ
ٱلۡمَشۡرِقَيۡنِ
وَرَبُّ
ٱلۡمَغۡرِبَيۡنِ
١٧
Mola Mlezi wa mashariki mbili na wa magharibi mbili.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Mola wa pande mbili za Mashariki ya jua, katika kusi na kaskazi, na Mola wa pande mbili za Magharibi ya jua, katika kusi na kaskazi, kwani vyote viko chini ya uendeshaji Wake na ulezi Wake..
Mola wa pande mbili za Mashariki ya jua, katika kusi na kaskazi, na Mola wa pande mbili za Magharibi ya jua, katika kusi na kaskazi, kwani vyote viko …
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 55, Ukurasa 531, Juzuu 27

14. Amemuumba mtu kwa udongo wa kinamo. 15. Na akawaumba majini kwa ulimi wa moto. 16. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha. 17. Mola Mlezi wa mashariki mbili na wa magharibi mbili. 18. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha? 19. Anaziendesha bahari mbili zikutane; 20. Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane. 21. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha? 22. Katika hizo bahari mbili zinatoka lulu na marijani. 23. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha? 24. Na ni vyake Yeye hivi viendavyo baharini vilivyo undwa kama vilima. 25. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia