Ar-Rahman 55:44 يطوفون بينها وبين حميم ان ٤٤
يَطُوفُونَ
بَيۡنَهَا
وَبَيۡنَ
حَمِيمٍ
ءَانٖ
٤٤
Watakuwa wakizunguka baina ya hiyo na maji ya moto yanayo chemka.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
mara wanaadhibiwa kwenye Jaḥīm, na mara nyingine wananyweshwa Hāmīm, nacho ni kinywaji kilichofikia upeo wa ukali wa moto, kinakata tumbo na sehemu za ndani ya mbavu.
mara wanaadhibiwa kwenye Jaḥīm, na mara nyingine wananyweshwa Hāmīm, nacho ni kinywaji kilichofikia upeo wa ukali wa moto, kinakata tumbo na sehemu za…