Ar-Rahman 55:78 تبارك اسم ربك ذي الجلال والاكرام ٧٨
تَبَٰرَكَ
ٱسۡمُ
رَبِّكَ
ذِي
ٱلۡجَلَٰلِ
وَٱلۡإِكۡرَامِ
٧٨
Limetukuka jina la Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Zimekithiri mno baraka za Jina la Mola wako, na kheri Zake zimekuwa nyingi, Mwenye haiba kubwa, utukufu wenye kukamilika na takrima kwa wenye kumtegemea Yeye.
Zimekithiri mno baraka za Jina la Mola wako, na kheri Zake zimekuwa nyingi, Mwenye haiba kubwa, utukufu wenye kukamilika na takrima kwa wenye kumtegem…