As-Saaffat 37:122 انهما من عبادنا المومنين ١٢٢
إِنَّهُمَا
مِنۡ
عِبَادِنَا
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
١٢٢
Hakika wawili hao ni katika waja wetu walio amini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika ya wao wawili ni miongoni mwa waja wetu waliojikita katika Imani.