As-Saaffat 37:125 اتدعون بعلا وتذرون احسن الخالقين ١٢٥
أَتَدۡعُونَ
بَعۡلٗا
وَتَذَرُونَ
أَحۡسَنَ
ٱلۡخَٰلِقِينَ
١٢٥
Mnamwomba Baa'li na mnamwacha Mbora wa waumbaji,. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Vipi nyinyi mtaliabudu sanamu ambalo ni kiumbe dhaifu na mtamuacha Mzuri wa kuumba, Mwenye sifa nzuri na kamilifu kabisa,