As-Saaffat 37:137 وانكم لتمرون عليهم مصبحين ١٣٧
وَإِنَّكُمۡ
لَتَمُرُّونَ
عَلَيۡهِم
مُّصۡبِحِينَ
١٣٧
Na hakika nyinyi mnawapitia wakati wa asubuhi,. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hakika yenu nyinyi, enyi watu wa Makkah mnazipitia katika safari zenu nyumba za watu wa Lūṭ na athari zao katika kipindi cha asubuhi,