As-Saaffat 37:138 وبالليل افلا تعقلون ١٣٨
وَبِٱلَّيۡلِۚ
أَفَلَا
تَعۡقِلُونَ
١٣٨
Na usiku. Basi je! Hamyatii akilini?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na pia mnazipitia katika kipindi cha usiku. Basi hamtii akilini, mkaogopa kisije kikawafika nyinyi kile kilichowafika wao?