As-Saaffat 37:141 فساهم فكان من المدحضين ١٤١
فَسَاهَمَ
فَكَانَ
مِنَ
ٱلۡمُدۡحَضِينَ
١٤١
Akaingia katika kupigiwa kura, na akawa katika walio shindwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mawimbi makubwa yakaizunguka jahazi hiyo kila upande. Na watu waliokuwa wamepanda jahazi wakapiga kura ili kupunguza shehena ili wasizame. Yūnus akawa ni miongoni mwa wale walioshindwa kwa kura.
Mawimbi makubwa yakaizunguka jahazi hiyo kila upande. Na watu waliokuwa wamepanda jahazi wakapiga kura ili kupunguza shehena ili wasizame. Yūnus akawa…