As-Saaffat 37:142 فالتقمه الحوت وهو مليم ١٤٢
فَٱلۡتَقَمَهُ
ٱلۡحُوتُ
وَهُوَ
مُلِيمٞ
١٤٢
Samaki akammeza hali ya kuwa ni mwenye kulaumiwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hivyo basi akatupwa baharini na chewa akammeza, na hali ni kwamba Yūnus, amani imshukie, ameleta jambo la kumfanya alaumiwe.