As-Saaffat 37:143 فلولا انه كان من المسبحين ١٤٣
فَلَوۡلَآ
أَنَّهُۥ
كَانَ
مِنَ
ٱلۡمُسَبِّحِينَ
١٤٣
Na ingeli kuwa hakuwa katika wanao mtakasa Mwenyezi Mungu,. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Lau si yale yaliyotangulia kwake, ya wingi wa Ibada na matendo mema kabla ya kuingia ndani ya tumbo la chewa kwa kusema, «Hapana Mola anayepasa kuabudiwa kwa haki isipokuwa wewe, kutakasika na sifa za upungufu ni kwako, mimi nimekuwa miongoni mwa wenye kudhulumu,»
Lau si yale yaliyotangulia kwake, ya wingi wa Ibada na matendo mema kabla ya kuingia ndani ya tumbo la chewa kwa kusema, «Hapana Mola anayepasa kuabud…