As-Saaffat 37:150 ام خلقنا الملايكة اناثا وهم شاهدون ١٥٠
أَمۡ
خَلَقۡنَا
ٱلۡمَلَٰٓئِكَةَ
إِنَٰثٗا
وَهُمۡ
شَٰهِدُونَ
١٥٠
Au tumewaumba Malaika kuwa ni wanawake, na wao wakashuhudia?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na waulize wao, «Je, tuliwaumba Malaika wakiwa wanawake, na hali wao wapo (wakishuhudia uumbaji huo)?»