As-Saaffat 37:161 فانكم وما تعبدون ١٦١
فَإِنَّكُمۡ
وَمَا
تَعۡبُدُونَ
١٦١
Basi hakika nyinyi na mnao waabudu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika yenu nyinyi, enyi wenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na kile mnachokiabudu badala ya Mwenyezi Mungu miongoni mwa waungu,