Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
037

As-Saaffat 37:171 ولقد سبقت كلمتنا لعبادنا المرسلين ١٧١

37:171
وَلَقَدۡ
سَبَقَتۡ
كَلِمَتُنَا
لِعِبَادِنَا
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
١٧١
Na bila ya shaka neno letu lilikwisha tangulia kwa waja wetu walio tumwa. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Kwa hakika lishatangulia neno letu, ambalo halina namna ya kurudi, la kuwaahidi waja wetu waliopewa utume
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 37, Ukurasa 452, Juzuu 23

167. Na walikuwapo walio kuwa wakisema:. 168. Tungeli kuwa na Ukumbusho kama wa watu wa zamani,. 169. Bila ya shaka tungeli kuwa ni waja wa Mwenyezi Mungu wenye ikhlasi. 170. Lakini waliukataa. Basi watakuja jua. 171. Na bila ya shaka neno letu lilikwisha tangulia kwa waja wetu walio tumwa. 172. Ya kuwa wao bila ya shaka ndio watakao nusuriwa. 173. Na kwamba jeshi letu ndilo litakalo shinda. 174. Basi waachilie mbali kwa mda. 175. Na watazame, nao wataona. 176. Je! Wanaihimiza adhabu yetu?. 177. Basi itakapo shuka uwanjani kwao, itakuwa asubuhi mbaya kwa walio onywa. 178. Na waache kwa muda. 179. Na tazama, na wao wataona. 180. Subhana Rabbi'l'Izzat Ametakasika Mola Mlezi Mwenye enzi na yale wanayo mzulia. 181. Na Salamu juu ya Mitume. 182. Na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia