As-Saaffat 37:180 سبحان ربك رب العزة عما يصفون ١٨٠
سُبۡحَٰنَ
رَبِّكَ
رَبِّ
ٱلۡعِزَّةِ
عَمَّا
يَصِفُونَ
١٨٠
Subhana Rabbi'l'Izzat Ametakasika Mola Mlezi Mwenye enzi na yale wanayo mzulia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mola wa enzi na utukufu Ameepukana na kuwa juu ya kila kile ambacho wanaomzulia urongo wanamsifu nacho.