Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: As-Saaffat 37:21

37:21
هاذا يوم الفصل الذي كنتم به تكذبون ٢١
هَـٰذَا يَوْمُ ٱلْفَصْلِ ٱلَّذِى كُنتُم بِهِۦ تُكَذِّبُونَ ٢١
هَٰذَا
يَوۡمُ
ٱلۡفَصۡلِ
ٱلَّذِي
كُنتُم
بِهِۦ
تُكَذِّبُونَ
٢١
Hii ndiyo Siku ya Hukumu mliyo kuwa mkiikadhibisha. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hapo wataambiwa, «Hii ndiyo Siku ya Uamuzi wa haki baina ya viumbe, ambayo mlikuwa mkiikanusha duniani na mkiikataa.»