As-Saaffat 37:27 واقبل بعضهم على بعض يتساءلون ٢٧
وَأَقۡبَلَ
بَعۡضُهُمۡ
عَلَىٰ
بَعۡضٖ
يَتَسَآءَلُونَ
٢٧
Watakabiliana wao kwa wao kuulizana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hapo makafiri watakabiliana wao kwa wao wakilaumiana na wakigombana.