As-Saaffat 37:28 قالوا انكم كنتم تاتوننا عن اليمين ٢٨
قَالُوٓاْ
إِنَّكُمۡ
كُنتُمۡ
تَأۡتُونَنَا
عَنِ
ٱلۡيَمِينِ
٢٨
Watasema: Kwa hakika nyinyi mlikuwa mkitujia upande wa kulia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wafuasi watasema kuwaambia wafuatwa, «Nyinyi mlikuwa mkitujia kwa upande wa dini na haki, mkiifanya Sheria ni twevu kwetu, mkitutia chuki nayo na mkitupambia upotevu.»
Wafuasi watasema kuwaambia wafuatwa, «Nyinyi mlikuwa mkitujia kwa upande wa dini na haki, mkiifanya Sheria ni twevu kwetu, mkitutia chuki nayo na mkit…