As-Saaffat 37:30 وما كان لنا عليكم من سلطان بل كنتم قوما طاغين ٣٠
وَمَا
كَانَ
لَنَا
عَلَيۡكُم
مِّن
سُلۡطَٰنِۭۖ
بَلۡ
كُنتُمۡ
قَوۡمٗا
طَٰغِينَ
٣٠
Sisi hatukuwa na mamlaka juu yenu, bali nyinyi wenyewe mlikuwa wapotovu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na sisi hatukuwa na hoja juu yenu wala nguvu, tukaweza kwa hizo kuwazuilia kuamini. Bali nyinyi wenyewe, enyi washirikina, mlikuwa waasi wenye kupita mipaka ya haki.
«Na sisi hatukuwa na hoja juu yenu wala nguvu, tukaweza kwa hizo kuwazuilia kuamini. Bali nyinyi wenyewe, enyi washirikina, mlikuwa waasi wenye kupita…