As-Saaffat 37:33 فانهم يوميذ في العذاب مشتركون ٣٣
فَإِنَّهُمۡ
يَوۡمَئِذٖ
فِي
ٱلۡعَذَابِ
مُشۡتَرِكُونَ
٣٣
Basi wao kwa hakika siku hiyo watashirikiana katika adhabu pamoja. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi wafuasi na wafuatwa watashirikiana katika adhabu Siku ya Kiyama, kama walivyoshirikiana ulimwenguni katika kumuasi Mwenyezi Mungu.