As-Saaffat 37:34 انا كذالك نفعل بالمجرمين ٣٤
إِنَّا
كَذَٰلِكَ
نَفۡعَلُ
بِٱلۡمُجۡرِمِينَ
٣٤
Hivyo ndivyo tutakavyo wafanyia wakosefu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hivi ndivyo sisi tunavyowafanyia waliochagua mambo ya kumuasi Mwenyezi Mungu ulimwenguni na wakaacha kumtii, basi tutawaonjesha adhabu kali.