As-Saaffat 37:45 يطاف عليهم بكاس من معين ٤٥
يُطَافُ
عَلَيۡهِم
بِكَأۡسٖ
مِّن
مَّعِينِۭ
٤٥
Wanazungushiwa kikombe chenye kinywaji cha chemchem. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Zinazungushwa kwao gilasi za Pombe inayotoka kwenye mito inayotembea, hawachelei kuwa itamalizika,