As-Saaffat 37:52 يقول اانك لمن المصدقين ٥٢
يَقُولُ
أَءِنَّكَ
لَمِنَ
ٱلۡمُصَدِّقِينَ
٥٢
Aliye kuwa akinambia: Hivyo wewe ni katika wanao sadiki. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Aliyekuwa akisema, ‘Ni vipi wewe unaamini Ufufuzi ambao ni upeo wa kustaajabisha?