As-Saaffat 37:64 انها شجرة تخرج في اصل الجحيم ٦٤
إِنَّهَا
شَجَرَةٞ
تَخۡرُجُ
فِيٓ
أَصۡلِ
ٱلۡجَحِيمِ
٦٤
Hakika huo ni mti unao toka katikati ya Jahannamu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika huo ni mti ambao unaota kwenye uketo wa moto wa Jahanamu, matunda yake yana sura mbaya