As-Saaffat 37:66 فانهم لاكلون منها فماليون منها البطون ٦٦
فَإِنَّهُمۡ
لَأٓكِلُونَ
مِنۡهَا
فَمَالِـُٔونَ
مِنۡهَا
ٱلۡبُطُونَ
٦٦
Basi hakika bila ya shaka hao watayala hayo, na wajaze matumbo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi yanapokuwa hivyo, usiulize baada ya haya kuhusu utamu wake. Kwani washirikina ni wenye kula kutoka mti huo na ni wenye kujaza matumbo yao kwa matunda hayo.
Basi yanapokuwa hivyo, usiulize baada ya haya kuhusu utamu wake. Kwani washirikina ni wenye kula kutoka mti huo na ni wenye kujaza matumbo yao kwa mat…