As-Saaffat 37:68 ثم ان مرجعهم لالى الجحيم ٦٨
ثُمَّ
إِنَّ
مَرۡجِعَهُمۡ
لَإِلَى
ٱلۡجَحِيمِ
٦٨
Kisha hakika marejeo yao bila ya shaka yatakuwa kwenye Jahannamu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha marejeo yao baada ya adhabu hii ni kuishia (hukohuko) kwenye adhabu ya Moto.