As-Saaffat 37:69 انهم الفوا اباءهم ضالين ٦٩
إِنَّهُمۡ
أَلۡفَوۡاْ
ءَابَآءَهُمۡ
ضَآلِّينَ
٦٩
Hakika waliwakuta baba zao wamepotea. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wao waliwakuta baba zao kwenye ushirikina na upotevu,